Items where Division is "Department of Linguistics and Literary Studies" and Year is 2015

Up a level
Export as [Atom feed] Atom [RSS feed] RSS 1.0 [RSS2 feed] RSS 2.0
Group by: Creators | Item Type | No Grouping
Jump to: | A | D | K | L | M | S | Z
Number of items: 34.

Ali, Amour Rashid (2015) Kuchunguza Dhana Zilizobebwa na Wahusika na Zinavyolandana na Majina yao: Uchunguzi katika Riwaya ya Kiu na Kiu ya Haki. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Ali, Laila Hemed (2015) Changamoto na mbinu za kiisimu katika ufundishaji wa stadi ya mazungumzo kwa wanafunzi wa elimu ya awali. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Ali, Siti Faki (2015) Tofauti za Msamiati Wa lahaja ya Kipemba cha Kaskazini na Kipemba cha Kusini. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Athumani, Mkumba Rashidi (2015) Athari za Kiisimu za Lugha ya Kiswahili katika Lugha ya Kiyao. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Bakari, Bakari Kombo (2015) Ulinganishi wa kiisimu kati ya lahaja ya Kipemba na Kitumbatu. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Faki, Ali Mussa (2015) Kuchunguza Sifa za Kifani za Utendi wa Kiswahili: Mfano Utendi wa Fumo Liyongo. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Kawia, Mshana Samwel (2015) Kuchunguza Usawiri Chanya wa Mwanamke Katika Vitendawili Vya Jamii ya Wanyiha. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Khalfan, Saida Said (2015) Tofauti za Sentensi za Lahaja ya Kipemba na Kiswahili Sanifu Zinavyokwamisha Mawasiliano Fanisi baina ya wazungumzaji wa Kiswahili. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Lunyana, Nicholaus Mvugamake (2015) Haja ya lugha ya Kiswahili kutumika kufundishia elimu ya Sekondari.Mifano Kutoka Wilaya ya Ilemela-Mwanza. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Makame , Mussa Khamis (2015) Uchambuzi wa Viangama Katika Kiswahili cha Mazungumzo Unguja. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Mningo,, Rehema Adam (2015) Tathmini ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Tamthiliya ya Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Mohd, Asha Rashid (2015) Kuchunguza Dhima za Nyimbo za Ngoma ya Msondo wa Pembe. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Msacky, Eva Yeronimo (2015) Kuchunguza Dhamira za Kijamii na Kisiasa katika Riwaya ya Siri za Maisha. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Muhando, Roxana Eliamini (2015) Kuchunguza Dhamira za Kijamii katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mfano wa Tamthiliya ya Hatia ya Penina Mlama. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Mzee, Mwanaika Madi (2015) Kuchambuwa Maudhui ya Hadithi za Watoto Katika Jamii ya Wapemba. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Nyamsenda, Jane Chacha (2015) Ushujaa wa Shujaa wa Motifu za Safari na Msako Katika Ngano za Waikizu, Wabondei na Wazanzibari. ["eprint_fieldopt_thesis_type_phd" not defined] thesis, The Open University Of Tanzania.

Nyanda, Josephine (2015) Athari za Lugha ya Kinyamwezi Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Omchamba, Deusdedith I. (2015) Tathmini ya nafasi ya Lugha za Kijamii katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Riwaya ya Bwana Myombekere na Bibi Bugonoka Ntulinalwo na Bunalihwali. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Senyamanza, Christopher Alexander (2015) Tathmini ya Mabadiliko ya Rara Mintarafu Maendeleo ya Jamii. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Suleiman, Kauthar Abdalla (2015) Kuchunguza Kiwango cha Mabadiliko ya Matumizi ya Msamiati wa Kipemba. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Wenceslaus, Mashaka (2015) Athari za lugha ya Kijita katika kujifunza Kiswahili. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

A

Ali, Hafsa Abdalla (2015) Kutathmini Usawiri wa Muhusika Mwanamke Katika Hadithi Simulizi za Wapemba. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Ali, Shaame Ismail (2015) Tofauti za Msamaiti Baina ya Kiswahili cha Chake Chake na Kiswahili cha Micheweni katika Kisiwa cha Pemba. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

D

Damka, Amos Ben (2015) Kuchunguza dhima za vitendawili vya jamii ya Wanyisanzu wa Iramba, Singida, Tanzania. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

K

Kimambo, Sidora Joseph (2015) Kuchunguza Matumizi ya Lugha katika Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi Kifani wa Vipuli vya Figo na Siri za Maisha. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

kaguo, Joyce (2015) Mchango wa Mashairi ya Bi Madina Ali El-Buhriy Katika Arudhi ya Kiswahili Tanga. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

L

Liwachi,, Vincent Stanley (2015) Nafasi ya Nyimbo za Injili katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano Kutoka katika Nyimbo za Rose Muhando. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

M

Mhangilwa, Salome Clemence (2015) Itikadi katika Tamthiliya za Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Mosi, Masatu (2015) THE MARKING OF TENSE AND ASPECT IN LEKI: THE CASE OF FORMS AND REMOTENESS DISTINCTIONS. Masters thesis, The Open University of Tanzania.

S

Saleh, Khatib Khamis (2015) Ufasihi Simulizi katika Riwaya za Shaaban Robert: Mifano kutoka Adili na Nduguze na Wasifu wa Siti Binti Saad. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Salim, Amina Said (2015) Kuchunguza dhima za semi zilizoandikwa kwenye mikoba Kisiwani Pemba. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Salim, Muhammed Ali (2015) Kuchunguza Ufasihi Simulizi unaojitokeza Ndani ya Hadithi za Kusadikika na Adili na Nduguze. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Shemweta, Gladys (2015) Itikadi katika Tamthiliya za Emmanuel Mbogo: Utafiti Linganishi wa Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

Z

Zubeir, Zuwena Suleiman (2015) Etimolojia ya Majina ya Mahali ya Kaskazini Pemba Kuwa Utambulisho wa Utamaduni wa Wapemba. Masters thesis, The Open University Of Tanzania.

This list was generated on Thu Oct 6 06:08:19 2022 EAT.