Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari

Yoradi, Sikombe Yizukanji (2013) Lugha ya Kiswahili katika Kufundishia na Kujifunzia Elimu Shule za Sekondari. Masters thesis, The Open University of Tanzania.

[thumbnail of LUGHA_YA_KISWAHILI__KATIKA__KUFUNDISHIA__NA_KUJIFUNZIA_ELIMU_SHULE__ZA__SEKONDARI.pdf]
Preview
PDF
Download (620kB) | Preview

Abstract

Azma ya utafiti huu, ilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha ya Kiswahili katika kufundishia na kujifunzia Elimu shuleni na Vyuoni. Utafiti huu umefanywa Wilayani Mvomero.Taasisi tatu zilishirikishwa. Shule za Msingi, Shule za Sekondari, Vyuo vya elimu. Masomo mawili Kiswahili na Kiingereza yalichunguzwa. Njia zilizotumika katika utafiti huu zilikuwa ni utafiti wa Maktabani, ana kwa ana na Masikanini .Matokeo ya Utafiti huu yamebaini kwamba; Kiswahili ni Lugha inayoeleweka vizuri zaidi katika kufundishia na kujifunzia elimu shuleni kuliko lugha ya kiingereza. Watoto wengi hawaelewi lugha ya Kiingereza pale inapotumiwa kama lugha ya kufundishia na kuwafanya watoto wasiweze kupata elimu ambayo wangeipata shuleni kwa ajili ya kuliendeleza Taifa.

Item Type: Thesis (Masters)
Subjects: 400 Language > 490 Other languages
Divisions: Faculty of Arts and Social Sciences > Department of Linguistics and Literary Studies
Depositing User: Mr Habibu Kazimzuri
Date Deposited: 14 Jan 2016 11:55
Last Modified: 14 Jan 2016 11:55
URI: http://repository.out.ac.tz/id/eprint/927

Actions (login required)

View Item View Item