Mafunzo ya Nyimbo za jando na unyago kwa Jamii ya Wahiyao wa Masasi, Tarafa ya Lulindi

Rashid, Hadija Utukulu (2013) Mafunzo ya Nyimbo za jando na unyago kwa Jamii ya Wahiyao wa Masasi, Tarafa ya Lulindi. Masters thesis, The Open University of Tanzania.

[thumbnail of Anna_new.pdf]
Preview
PDF
Download (1MB) | Preview

Abstract

Utafiti huu unahusu mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya wahiyao wa Lulindi Wilaya ya Masasi. Utafiti umechunguza ubora na udhaifu wa mafunzo hayo kwa vijana wa jamii hiyo. Utafiti umelenga kukusanya na kuchanganua data, kuhakiki na kuelezea mafunzo ya nyimbo za jando na unyago kwa jamii ya Wahiyao wa Lulindi wilayani Masasi. Utafiti umeweka msisitizo zaidi juu ya mafunzo ya yapatikanayo kwenye nyimbo za jando na unyago kama tanzu ya fasihi simulizi. Nyimbo za jando na unyago zimekuwa na mjadala mkubwa kwa jamii ya wahiyao. Hii imetokana na mwelekeo hasi wa vijana wa kihiyao. Hali hiyo imechochea kufanyika kwa utafiti huu ili kupata ukweli wa yale yanayosemwa na wasemaje wa tatizo hilo.

Item Type: Thesis (Masters)
Subjects: 400 Language > 490 Other languages
Divisions: Faculty of Arts and Social Sciences > Department of Linguistics and Literary Studies
Depositing User: Mr Habibu Kazimzuri
Date Deposited: 22 Jan 2016 06:25
Last Modified: 22 Jan 2016 06:25
URI: http://repository.out.ac.tz/id/eprint/988

Actions (login required)

View Item View Item