Kuchunguza Maana ya Majina Asilia ya Watu Katika Jamii ya Wajita Mkoani Mara Nchini Tanzania

Lenjima, Jemima (2019) Kuchunguza Maana ya Majina Asilia ya Watu Katika Jamii ya Wajita Mkoani Mara Nchini Tanzania. Masters thesis, The Open University of Tanzania.

[thumbnail of TASNIFU - JEMIMA LENJIMA FINAL - 1.pdf]
Preview
PDF
Download (1MB) | Preview

Abstract

Ninaitabaruku tasnifu hii ya utafiti kwa kwa mume wangu kipenzi Ernest Masatu. Ushauri wake umekuwa faraja na ngao kubwa sana kwangu katika safari yangu hii ya kitaaluma. Kila wakati hakuchoka kunitia moyo wa kuendelea hata pale nilipochoka, alinipa mkono wa shirika, na leo nimefika kiwango cha shahada ya uzamili.

Item Type: Thesis (Masters)
Subjects: 400 Language > 490 Other languages
Divisions: Faculty of Arts and Social Sciences > Department of Linguistics and Literary Studies
Depositing User: Mr. Administrator OUT
Date Deposited: 23 Nov 2020 13:55
Last Modified: 23 Nov 2020 13:55
URI: http://repository.out.ac.tz/id/eprint/2520

Actions (login required)

View Item View Item