Mapunjo, G. C.
(2014)
Usawiri Wa Mwanamke Kama Kiongozi Katika Tamthiliya: Uchunguzi Wa Kivuli Kinaishi Na Nguzo Mama.
Masters thesis, The Open University of Tanzania.
Abstract
Ndugu msomaji wangu, waswahili wanamsemo wao kuwa “chanda chema huvishwa pete” na mimi kutoka moyoni mwangu naitabaruku kazi hii kwa wazazi wangu, kwanza Baba yangu mpendwa, Cleopa Elinisafi Mapunjo Mpembeni na Mama yangu Kalolina Kitungutu waliopenda sana kunihimiza nisome kwa bidii. Kwani maisha ni magumu na bila elimu utanyanyaswa. Alipenda kusema “unamsomea nani au unamwandikia nani”, kwa ufupi tu na kwa ujasiri nilijibu kuwa; nawaandikia wote ili waelimike. Pili, Mama yangu mpendwa Dkt Rose Cleopa Mapunjo Mpembeni kwa ushauri wake wa mara kwa mara kuhusu umuhimu wa elimu. Nawapenda wote na Mungu awabariki.
Actions (login required)
|
View Item |