Athari za Lugha ya Kimakonde Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili

Mpangala,, Grace (2018) Athari za Lugha ya Kimakonde Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili. Masters thesis, The Open University of Tanzania.

[thumbnail of FINAL MPANGALA N0 22222.pdf]
Preview
PDF
Download (1MB) | Preview

Abstract

Kazi hii ninaitabaruku kwa wazazi wangu wapendwa baba yangu Marehemu Mzee Nicholaus Isidori Mpangala na mama yangu Pelagia Damian Challle Mpangala kwa kunilea na kunisomesha toka Shule ya Msingi hadi Chuo Kikuu. Katika makuzi yao wamenilea kwa kunitia moyo wa kuvumilia na kutokatatamaa wakati wa kufanya jambo ulilolikusudia, walinihimiza kusoma kwa bidii na kunijenga katika misingi bora ya maisha katika dunia hii. Pia, bila kuwasahau wanangu wapendwa, na familia yangu yote kwa ujumla wana kila sababu ya kuhakikisha kuwa wanasoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana.Mwenyezi Mungu awabariki sana.

Item Type: Thesis (Masters)
Subjects: 400 Language > 410 Linguistics
Divisions: Faculty of Arts and Social Sciences > Department of Linguistics and Literary Studies
Depositing User: Mr. Administrator OUT
Date Deposited: 22 Nov 2019 11:36
Last Modified: 22 Nov 2019 11:36
URI: http://repository.out.ac.tz/id/eprint/2332

Actions (login required)

View Item View Item