Mpangala,, Grace
(2018)
Athari za Lugha ya Kimakonde Katika Kujifunza Lugha ya Kiswahili.
Masters thesis, The Open University of Tanzania.
Abstract
Kazi hii ninaitabaruku kwa wazazi wangu wapendwa baba yangu Marehemu Mzee
Nicholaus Isidori Mpangala na mama yangu Pelagia Damian Challle Mpangala kwa
kunilea na kunisomesha toka Shule ya Msingi hadi Chuo Kikuu. Katika makuzi yao
wamenilea kwa kunitia moyo wa kuvumilia na kutokatatamaa wakati wa kufanya jambo
ulilolikusudia, walinihimiza kusoma kwa bidii na kunijenga katika misingi bora ya
maisha katika dunia hii. Pia, bila kuwasahau wanangu wapendwa, na familia yangu yote
kwa ujumla wana kila sababu ya kuhakikisha kuwa wanasoma kwa bidii na kufaulu
vizuri sana.Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Actions (login required)
|
View Item |